Anataka nifanye nae mapenzi kutokana na mateso ya mumewe

Unaonaje ukishauriana na mpenzi wako au mkeo kuhusu hili kwanza,au nae uko tayari kumsaliti pia?...au uko single & searching kwa hiyo hilo umeona kama zali la mentali mkuu?.

 
Ww ni msamaria mwema au mtu wa Red Cross? Duu unachekesha. U R AN IDIOT!!!! Kwa lugha nyepesi
 
Usikubali kabisa,,,uzinzi ni dhambi
 

Wanataka kukutengenezae mtego wakufumanie. Siku hizi mbinu za kusaka hela zimekuwa nyingi sana. Epukana kabisa na hao mashetani. Waambie wakuache na maisha yako.
 
Eti mimi nakushauri usiende kabisa. Naungana na wengi walokushauri usiende.

Don't even try to think about it.
 
Hana lolote, anamchepuko wake amekutupia tu mzigo na anataka kukukamatisha
Ukienda ujue unaenda pumuliwa kisogon
 
Nenda kaka! ila jiandae kwa mambo yafuatayo:
1. ukikuta hanamvuto uwetayari kumsaidia pia
2.Uwe fiti kwa magoli ya kutosha
3. jiandae kugeuzwa, kulipa au kudhalilishwa pindi ukifumaniwa
4. usisahau salama c
nihayo

5. Usisahau kuleta mrejesho
 
Wanakupanga tu hao. We nenda ila jiandae kurudi unachechemea.
 
Achana naye mtu hata humufahamu ujipe shinda ya nini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…