Anataka nifanye nae mapenzi kutokana na mateso ya mumewe

Ilikuwa juzi majira ya jioni jioni hivi mara nikapata simu kutoka kwa dada fulani hivi alijitambulisha kwa jina la Fatma(simfahamu) na alikuwa anamuulizia mtu pia ambaye simjui(kutokana na situation alikuwa amekosea namba) akawa amelitambua hilo mapemaa..
Sasa baada kama ya saa moja hivi nikapokea tena simu kwa namba ile ile ya kwanza ya Fatma mara hii tena nilivyopokea kumbe mumewe ndo aliyenipigia na akaanza kunishtumu kuwa namchukulia mkewe na kuanza kunitukana matusi ya maungoni mimi nilichokifanya niliiweka simu loudspeaker na kuanza kupiga mabati na fimbo(kwa nia ya kumpigia kelele) kwa kuwa nilimuambia ki-staarabu hakunielewa.
Sasa mwisho wa picha mkewe akanipigia na kuniambia kuwa mumewe anampga,ana mtukana na kumtesa kwa kosa ambalo hajafanya hivyo akawa ananiambia ananitaka nifanye mapenzi nae kwa kuwa amechoka kulaumiwa kwa kosa hasilofanya ni bora tu alifanye kabisa na kuongezea kuwa atalipa guest house mwenyewe ili mradi tu nikamshughurikie.
Sasa mimi niko dilema naombeni ushauri wana jamii yoo..GT hapa yoo

zamani neno malaya lilikuwa adimu sana lakini sikuhizi limekuwa kivutio kama mlima KILIMANJARO
KAZI KWELI KWELI
 
Unawezaje kuwa na hisia za mapenzi na mtu aliekupigia tuu simu? aliweza kukupigia wewe ameshawapigia wangapi?

mkuu usijaribu kabisa. Je kama umewekewa mtego utajuaje?
Mke wa mtu ni hatari sana..kuwa mwangalifu.
 
Sijajua kwa nini huyu bwana anaomba ushauri! Kwani siku zote kabla ya kukutana na mwanamke (maana inaonekana ni mzoefu) huwa unakuja kuomba ushauri hapa JF?
 
Ilikuwa juzi majira ya jioni jioni hivi mara nikapata simu kutoka kwa dada fulani hivi alijitambulisha kwa jina la Fatma(simfahamu) na alikuwa anamuulizia mtu pia ambaye simjui(kutokana na situation alikuwa amekosea namba) akawa amelitambua hilo mapemaa..
Sasa baada kama ya saa moja hivi nikapokea tena simu kwa namba ile ile ya kwanza ya Fatma mara hii tena nilivyopokea kumbe mumewe ndo aliyenipigia na akaanza kunishtumu kuwa namchukulia mkewe na kuanza kunitukana matusi ya maungoni mimi nilichokifanya niliiweka simu loudspeaker na kuanza kupiga mabati na fimbo(kwa nia ya kumpigia kelele) kwa kuwa nilimuambia ki-staarabu hakunielewa.
Sasa mwisho wa picha mkewe akanipigia na kuniambia kuwa mumewe anampga,ana mtukana na kumtesa kwa kosa ambalo hajafanya hivyo akawa ananiambia ananitaka nifanye mapenzi nae kwa kuwa amechoka kulaumiwa kwa kosa hasilofanya ni bora tu alifanye kabisa na kuongezea kuwa atalipa guest house mwenyewe ili mradi tu nikamshughurikie.
Sasa mimi niko dilema naombeni ushauri wana jamii yoo..GT hapa yoo

...dahh..

Greater Thinker
Join Date : 12th September 2011
Location : Bong"oa Nikusweke

Hebu acha kupoteza muda hapa nenda kamgonge fasta.

Raha ya mwenge kupokezana afu hauruki kijiji
 
dont even think about it..utajiweka kwenye risk ya kucameruniwa au kutapeliwa
 
Unaonesha kuwa ukijana mdogo sana na hila za maisha huzijui, nenda na ujitayarishe kulipia ugoni, kama huna, ujitayarishe kutembezwa uchi na kupigwa picha kwenye yale magazeti maarufu, na au ujitayarishe kushughulikiwa.

Amua Mwenyewe katika hayo ni lipi linalokufaa.
 
Ni kwel me ni mdogo ila sio mdogo kama unavyofikiri wewe,na siwezi nikafikia stage hiyo ya kuzalilishwa kama unavyowaza coz nayajua maisha kuliko unavyowaza yoo..
 
usijidhalilishe kiasi hicho .... mtu gani usiyekuwa na misimamo ya maisha ??? hukuwa na haja ya kuomba ushauri,??? why you want to be cheep?? kwa kuambiwa hivyo umejiona ndo wa maana asana ??
 
Mi nshamalizana nae yoo
 
Back
Top Bottom