Anataka nauli ya ndege


hahahaha umefanya maamuzi safi sana. umenikumbusha single mother mmoja nilikuwa namgegeda bwana wee nae alitaka ticket ya ndege nikamwambia hilo halipo, bi mkubwa wangu mwenyewe sijaweza mpandisha ndege nikupandishe wewe kisa papuchi, ah nikapiga chini japo kwa kweli yule single mother alikuwa anajua kugegedana na mtamuuu.
 
Jamani mtumie tu kama unayo, ukute hajawahi kupanda.
 
Uchumba una miezi mitano ila huwa wanaenda kuvunja vicoba.. Wanavunja kila mwezi? Nashawishika kuamini hii ni chai
 
Yaaani nana,kwa ndegeee nilimbomoa pindi natoka australia,masomoni
 
We inaonekana umesha mzimikia huyo dem sasa umekuja kulialia hapa ili usikie watu wanasemaje.

Usiwasikilize watu humu,we mlipietu ndege uokoe penzilako.

Ukijifanya kauzu wakati unampenda, watu wata mng'oa, watamlipia ndege na hapo ndio utaanza kutembea kila duka kuulizia bei ya kamba.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
aroo,hapo ni uchumba tu unapelekeshwa hivi,ukimuoa itakuaje sasa?
 
Sasa huyo mchumba huoni kuwa hafai kuoa!!! We mpotezee kama anataka maisha ya juu atafute wanaume wengine, na wewe usihofu wasichana ni wengi sana wanaohitaji kuolewa
 
Mnawaokotaga wapi hawa. Si ajabu ana babu huko mkoani mfanyabiadhara wa Mchele au Mbao au kahawa ndiye anafaidi. Wewe endelea kutuma pesa ya vicoba utakuja kulia humu. Sisi tutakupa pole tu.
 
Mnawaokotaga wapi hawa. Si ajabu ana babu huko mkoani mfanyabiadhara wa Mchele au Mbao au kahawa ndiye anafaidi. Wewe endelea kutuma pesa ya vicoba utakuja kulia humu. Sisi tutakupa pole tu.
I feel her if she's not pretending.... First time nasafiri kwa bus ilikuwa from Dar to Dom nilifka naumwa, (kichwa, makalio,miguu imevimba) in short yalikuwa ni mateso.
Una afya mbovu na wewe. Kupanda gari tu unaumwa mpaka unataka kufa maisha yataenda kweli. Je kutembea si utalazwa ICU. Kifupi tu mimi siwezi kuoa au kushauri mtu aoe mwenye afya mgogoro. Utashinda hosp kila wakati na raha ya kuoa itapotea na utajuta. Mambo ya upendo wa AGAPE tumwachie Yesu.

Nilimtema demu alikuwa na Asthma.
 
Sasa na wewe ni mwanaume kweli mambo yako na mchumba wako unaleta JF? Ndiyo maana tunaitwa Mwanaume wa Dar!! Hao ni mambo ya kuongea wanawake wakiwa Salon. Kijana huku leta mambo yanayohusu kupambana na maisha siyo mambo yako na mchumba wako!
 
Mmh jamani hayo si mambo tu yakuzungumza, Mnaweza mkapanga aje mwezi gani mkafanya booking yenu mapema na gharama ikawa chini yani mnayoweza kuimudu kabisa. Kwasababu kuna mikoa mingine ukitaka kuja dar ni unakaa zaidi ya masaa 17 unafika uko hoi kama umeburuzwa hata kuongea huwezi, sasa hapo hata kuna raha kweli ya kuja kumuona bby maana inakuwa kama adhabu.
 


Kaka huyo sio mchumba ni mlupo.
Ana pepo la kufilisi.
Atakushauri maendeleo na kubana matumizi au ndio atazifyeka unazozitafuta?
Shtuka mapema na kumbuka nyota njema huonekana asubuhi.

Kwa kifupi akili yake iko kwenye kuchuna mode
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…