Anataka nauli ya ndege

hizo ni dalili mbaya za ndoa, na apo hakuna ndoa ni homa,nenda kaoe huyu alafu uje ufulie ndipo utakapo juwa kwanini embe bichi huliwa na chumvi!
 
Kubabake hamna mwanamke apo..na huewez amini itakua kawahadithia shoga zake kua anakujaga kwako na ndege....amini kwamba ushamba mzigo na ndio unamsumbua huyo shankupe
 
Mkuu yupo Mkoa gani?

Achana nae braza, Achana nae kabisa. Kabisa aisee. Yaani imeniuma sana.

Usikute hajawahi kupanda ndege ata mata moja, amepata mteremko.

Mpige chini tafuta goma jipya. Na vyuo vimefunga mtaani kuna watoto wakali hatari.
 
Ashakwambia Mara zote huwa anapanda mabasi kwenye safari zake ila kwenye kwenda kusalimia anataka atumiwe nauli ya ndege
 
Safi sana! Usikubali Mwanamke akupande kichwani hata siku moja, hapo bado mpo kwenye uchumba tu anafanya hayo, Je ukishamuoa hali itakuwaje mkuu? kwa kifupi Mama mzazi tu ndie u anaweza kumdekeza kiasi hicho na nadhani mama mzazi nae anaangalia na hali halisi maana wao huwa wana uchungu na hela za watoto wao
 
Mzee hivyo ni vibinti vya kufake maisha yani hicho kitakupa stress achana anacho utakuta unatumia pesa yako yote kikihudumia chenyewe. Ni vile vibinti vinapenda igiza maisha na kwenda na trend za mavazi na simu wakati havina kazi vinategemea mwanaume ndiyo agharamie yani kiko exactly kama ki ex changu cha miaka ya nyuma na hiyo kauli we si mchumba wangu ndo hiyo hiyo.
Narudia tena kiache kabisa uwa haviridhiki kitakuwa pia kina mabwana huko.
Kikimaliza suala la ndege kitataka iphone x max
halafu hapo kinataka kikapge picha kikiwa kwenye ndege kipost instagram kiwakoge wenzake
 
Aache ushamba akimpa nauli ya ndege anakufa.........Love is sacrifice hiyo nimisimamo ya kijinga sana

Sent using Jamii Forums mobile app
We kweli ndo mshamba yani ufake maisha umpe mtu nauli ya ndege wakati huwezi kuafford? We unaelewa love ni sacrifice kwa kufanya mambo ya kijinga? Utakuwa unachunwa sana ukiendekeza ujinga na mtu kama una future nawe inabidi aelewa priorities za maisha siyo kuendekeza vitu vya kijinga wakati mshahar wako ni five zeros
 
Mkuu maelezo yako yanachanganya sana, either hii story ni ya uongo au ya kweli lakini umeshindwa kushawishi watu hasa mimi.

Ina maana umeshindwa kujua mfumo wa VIKOBA mpaka uulize hela ya VIKOBA inaendaga wapi?

Umesema una miezi 5, lakini story ni kama vile ni story inayoelezea zaidi ya miezi 8 hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tunao acha kuhoji sio km hatujaona huu mkanganyiko ni basi tuu tumeona tusiumize vichwa..
Kuna sehem kasema wakivunja vikoba haoni hela inaenda wapi, alivyoiweka ni kana kwamba wamevunja/gawana zaidi ya mara moja, na amesema wana miez 5, vikoba nijuavyo mm wanavunja mara 1 kwa mwaka,
Hape either tunafungwa kamba, amechanganya sehem au hio ATM yake imemdanganya wanafunga vikoba kila mwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…