Yani we dada ukithubutu tu kumuendekeza huyo mwanaume sababu ya woga au tu umekumbuka mapenzi ya zamani,utajuta!tena utalinywa.usidhani huyo kaka ana mapenzi na ww hata akubembeleze vipi.huyo kilichomleta kwako ni matatizo na hakuna compromise hapo.fanya yote ila usikubali kumtoa mtoto au hata ukathubutu mkajadili.hakuna mjadala juu ya kitu ambacho si chake na alishakataa.yani mwambie mimba haikuwa yake kwanza.ila before that..
Naomba umuweke huyo mumeo front person ktk kila jambo.infact hata huyo baba mtoto kuja ofisini ilipaswa ajue.kumbuka mumeo alifiwa na mkewe,ni machungu tosha.hata ingekuwa ww usingetaka mumeo awe na meetings za siri na ex wake.kwa kifupi mumeo ana kifua sana kukubebea mwanao na kukutunzia siri,na the fact that hata ndugu zake hawajui,huyo mume ni sent from heaven aise.u don't need ppo wa JF to tell u that!yani hvi nnavosema,ukae na mumeo umweleze yote.tena yote!sababu akijua haya yote kabla hata wewe mkewe hujamtamkia,itakuwa a very big betrayal na hata kama ulikuwa na nia njema ataona ulitaka msaliti tu.mume wa dizain hyo ni zawadi kwa Mungu tena once in a while umtolee Mungu sadaka ya shukrani.take my word.
Tatu,kama wewe na mumeo ni wasiri,ningeshauri muendeleze tu siri asijue mtu.si ndugu wala wazazi,much as wazazi always wanawatakia mema wanao ila siri zingine ni za wanandoa tu!nasema hvi,sababu nimeona sana hizi situations.coz mtawaambia ndugu,siku mtoto atakuwa mkubwa.nakuapia,hata kabla nyinyi wazazi hamjaamua kukaa na mwanenu kumpa ukweli (coz its obvious hamwezi mwambia ukweli huyo mtoto saiv,mtasubiri akue),ndugu watakuwa wamesharopoka kumwambia.utashangaa tu siku mtoto anakuuliza,mama babangu ni nani.au atakuwa ashaanza mtafuta babake kisiri.trust me,hiyo kitu inaweza isikuume ila itaja muuma sana mumeo.tena sana!in many cases,ndugu ndo wavunja amani wakubwa sana.na in this case lazma watateta mpaka siri haitakuwa siri tena na pia,ukumbuke kuwa ndugu zako wakijua wataipokea ila ndugu wa mumeo kinaweza wauma na wakadevelop chuki kwa mwanao kitu ambacho kitakuuma pia au huko mbele mumeo akaja fariki labda,ndugu wagome kumtambua mwanao wakidai kuwa si damu yao.trust me it'll kill u coz utawaza mumeo hakuwahi mbagua.ila hiyo ndo habari ya ndugu.sikushauri.ikiwezekana ibaki siri btn u two
Yani hili jambo linataka wisdom kubwa coz its gross kuliko unavoweza kudhani.mtangulize Mungu sana.u just have to stand tough for the sake of ur kids na mumeo.ntakuombea pia