Anataka kuzaa na mtoto mdogo

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
350
Habar zenyu wanathnker ninaomba mnisaidie jaman ninarafik yangu wa karbu anaumri 30 na anauwezo na kila ki2 na ananisaidia katka biashara zangu. Mara ya mwisho baada ya kuona hana jins akaniambia anataka kuzaa na msichana ilimrad awe na mtoto wakat anaendelea kutafuta mke taratibu. Na mm kwakuona umri wake kwel umekwenda nikamkubalia wazo hilo. Sasa tatzo linakuja amejenga mazoea na msichana mdogo (ambaye ni rafiki wa mdogo wangu wa kike pia) 18 ambae amemaliza form 4 hv juz na ameniambia anataka kuzaa nae. Baada ya kuniambia hvyo na mm kumpinga ameamua kuvunja ukaribu na amempiga marufuku kuja kwetu na kuwakaribu na mdogo wangu je nitafanyeje ili nimuokoe huyu msichana
 
mtafutie dadako azae naye....kama hadi hapo hauwezi kuwa jasiri kumwokoa uyo mtoto hadi umekuja kuuliza hapa, basi subiri azae na dadako wa miaka hiyo ndo utaona utamu wake.
 
na kwa jinsi wasichana walivyo huwezi kumshauri utaonekana mbaya,,,,,, mwache akatwe na wembe ndiyo atajua.......
 
Back
Top Bottom