OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,965
- 25,330
- Thread starter
- #21
Daah nitasema tu mkuu ...ila nikikurupuka tu itakuwa ni balaa ...kumuona ndo nawaza, niende au nisiende.Hayo mengine mbona huyasemi tukushauri?Nakushauri na wewe mtie mimba awe na watoto watatu maana anapenda mimba inaonekana na nyota ya panya au funza nadhani!