Anataka kunipa zawadi kesho

Anataka kunipa zawadi kesho

shave kabisa uende pale ukiwa mpya kabisaaaaaaaaaaa
 
Weka Picha ya huyo Mdada usije kwenda kuvishwa pete ya uchumba kuwa umekuwa Husband Material.. Siku Hizi wadada hawataki Mchezo kabisa kwenye Mambo ya Kuoawana ...
 
Mwezi mtukufu huu ohooooo we haya tu
 
Kuna binti nilimsaidia kupata kazi wiki iliyopita amenipigia simu Leo ameshukuru na ameniambia kesho anataka kunipa zawadi nzuri. Nimekubaliana naye ila changamoto ni mahali pa kupewa hiyo zawadi full hotel yani hotelini. Nimebaki nashangaa kwa kuwa sikuwahi kuweka hisia zozote mbele yake. Mrejesho kesho SAA 11 jioni.

Mkuu bado unapokea hiyo zaidi.!??
 
Angalia, mara nyingi tukio kama hilo, huwa wanaambatana na Boyfriend, wewe unakwenda kuwa utambulisho..
Njemba imeshaambana na inataka kujua nani amemtafutia kazi..
So usitarajie makubwa sana..

Yamewahi kumkuta rafiki yangu..
 
Kuna binti nilimsaidia kupata kazi wiki iliyopita amenipigia simu Leo ameshukuru na ameniambia kesho anataka kunipa zawadi nzuri. Nimekubaliana naye ila changamoto ni mahali pa kupewa hiyo zawadi full hotel yani hotelini. Nimebaki nashangaa kwa kuwa sikuwahi kuweka hisia zozote mbele yake. Mrejesho kesho SAA 11 jioni.

We chalii umefumaniwa nn, mbona hamna mrejesho??[emoji28]
 
Back
Top Bottom