Huo ni ujinga, upuuzi na utoto, na sie enzi zile hakuna simu tungesemaje bhana? haya mambo yenu ya simu haya...hata hivyo kuzima au kuwasha simu hakumzuii mtu kutokuwa mwaminifu ila nyie hamjui tu, mnaona simu na kutumiana vijimeseji ndio kila kitu, aaah wapi bhana uaminifu wa mtu haupimwi kihivyo.
Back to the main topic, huyo ndie mwizi maana amejuaje kuwa ukizima simu unamwibia? ina maana yeye ana tabia hiyo, chunguza sana
Tatu na mwisho, hizo decision zinaku-alert kuwa hapo hakuna mapenzi yenye future mnajidanganya tu I swear....utAKUJA kuniambia