kisumapai
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 544
- 219
Jamani wana MMU Mdogo wangu wa kiume kampata Mwanamke wa kiislam sasa anamlazimisha anataka habadili dini kama sio hivyo mausiano yao yaishie hapo .
Na kwetu kubadili dini ni mwiko mpaka sasa hiv mdogo wangu anataka kujiua nisaidien ushauri ili niweze kumuokoa mdogo wangu.
Na kwetu kubadili dini ni mwiko mpaka sasa hiv mdogo wangu anataka kujiua nisaidien ushauri ili niweze kumuokoa mdogo wangu.