Anataka kila siku

Anataka kila siku

Vichwa Vya wabongo vinawaza ngono tu,


Kila siku ngono huu ni upuuzi
 
NDOA ni mtihani LEO nimekutana na ugomvi mkubwa mwanaume analalama mkewe ANATAKA wafanye MAPENZI kila siku hata kama jamaa kachoka yeye ANATAKA sex.Mimi nikaona HILI ni tatizo kubwa nikamwuliza yule mama wa watoto watatu huwa mkifanya unaridhika akajibu kwa upole naridjika sana na ananifikisha kileleni ZAIDI ya Mara mbili hadi NNE nikamwuliza tena huwa unampikiaga nini ANATAKA mavyakula ya ajabu ajabu ambayo hapana hata protein nikamwambie yeye ndo tatizo LA maana by the way wanaume hatumudu hilo game kila siku na hata hamu inakuwa hapo NIKAWASHA USAFIRI WANGU NIKAONDOKA

Kuna wakati faiza foxy anaumuhimu katka hili jamvi! Sasa ndo uandishi gani huu?! Yaani mwanzo mwisho hamna hata koma, nukta, nk! Daaah!!!

Hadi hapa sijaelewa hata tatizo liko wapi!! Chakula gani, mabao manne, nikawasha usafiri wangu😡😡😡
 
Back
Top Bottom