Anatafutwa

Anatafutwa

mafuta

Member
Joined
Nov 12, 2014
Posts
52
Reaction score
29
4c3c4868587788a95da3822134bd9307.jpg
.
 
Hahahaaaa......Naona anatoka kimachale machale, anakula kodi yetu kiulaini ingawa hawezi kujichanganya sana kama mwanzo.
 
yani hawa wazee wamearibu taifa letu na watoto wetu, sasa hivi hakuna Mtoto anae takuwa Prof...... maana uprof umekuwa kituko
 
Hahahah, ila nadhani baada ya rank uprof rank inayofuata ni uchizi
 
kada mwaminifu wa chama changu 2020 zanzibar ushindi laini mbele kwa mbele
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom