Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,375 Reaction score 111,698 Feb 26, 2015 #21 mshana jr hiyo gari ni brand gani? halafu na hayo majani ni nachuro au bandia? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,115 Feb 26, 2015 Thread starter #22 Watu8 said: mshana jr hiyo gari ni brand gani? halafu na hayo majani ni nachuro au bandia? Click to expand... Watu8 gari ni corolla 110 majani ni naturo usiniulize nimejuaje sitaki ushahidi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Watu8 said: mshana jr hiyo gari ni brand gani? halafu na hayo majani ni nachuro au bandia? Click to expand... Watu8 gari ni corolla 110 majani ni naturo usiniulize nimejuaje sitaki ushahidi
kbosho JF-Expert Member Joined Jun 4, 2012 Posts 13,073 Reaction score 6,642 Feb 26, 2015 #23 ana mtafuta mwenye koch wa chichie, anautaka udc....
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,794 Reaction score 31,303 Feb 26, 2015 #24 Mtoa ukuu wa wilaya
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,386 Feb 26, 2015 #25 kabanga said: Mr Rocky said: Itakuwa basi maana kasisistiza sana anamtafuta kabanga Mr Rocky ikiwa anasisitiza, naomba umpatie namba yangu.... Click to expand... Sawa hakuna shida ngoja nimpe no na anasisitiza ukaangalie gari yake maana imeharibika bana Click to expand...
kabanga said: Mr Rocky said: Itakuwa basi maana kasisistiza sana anamtafuta kabanga Mr Rocky ikiwa anasisitiza, naomba umpatie namba yangu.... Click to expand... Sawa hakuna shida ngoja nimpe no na anasisitiza ukaangalie gari yake maana imeharibika bana Click to expand...
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 20,155 Reaction score 40,949 Feb 26, 2015 #26 Kuiendesha Mizigo kama hii unatakiwa uwe na leseni kubwa....kuanzia class C na kuendelea....
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Feb 26, 2015 #27 Mr Rocky said: kabanga said: Sawa hakuna shida ngoja nimpe no na anasisitiza ukaangalie gari yake maana imeharibika bana Click to expand... nasubiria simu yake, tena mimi fundi mkubwa kwake... Click to expand...
Mr Rocky said: kabanga said: Sawa hakuna shida ngoja nimpe no na anasisitiza ukaangalie gari yake maana imeharibika bana Click to expand... nasubiria simu yake, tena mimi fundi mkubwa kwake... Click to expand...
L Luggy JF-Expert Member Joined Aug 6, 2012 Posts 4,192 Reaction score 4,149 Feb 26, 2015 #28 kanatafuta U-DC hako mshana jr said: View attachment 229785 Click to expand...