Anatafutwa mwalimu wa Computer Mafinga

Anatafutwa mwalimu wa Computer Mafinga

sunguruma

Member
Joined
Sep 14, 2012
Posts
34
Reaction score
6
habari wanajamvini tunataka mwalimu wa kufundisha computer course mafinga kwenye chuo cha usecretary kimesajiliwa na veta. Kama uko tayali tuwasiliane kwa maelezo zaidi. Mshahara ni maeleweno kutokana na utendaji kazi wako. Please nafasi inahitajika kujazwa haraka if ur interested check on me kwenye PM or zeprezidar@gmail.com
 
Je ni mwenyeuwezo wakufundisha tu au kuna level flani ya elimu mmeikusudia?
 
Je ni mwenyeuwezo wakufundisha tu au kuna level flani ya elimu mmeikusudia?

nashukuru mkuu kwanza uwe umesomea unaijua vizuri then una uwezo wa kufundisha na watu waka kuelewa. it means unaweza kutransfer knowledge vizuri kutoka upande mmoja kwenda upande mwingine.
 
Bado hujaeleweka. Unahitaji mwenye level gani; certificate, diploma, degree. Funguka watu tujitose.
 
jamani nashukuru nimepata pm zetu na email zetu nitawajibu soon
 
Cku nyingine unatakiwa kufunguka vyema ili nac wadau tukuelewe!,unaposema mwl wa computer!,unamaanisha nn?,je ni mwalimu wake computer? au mwl mwenye ujuzi wa computer au mwl atakaye fundisha somo la computer au mwl anayefundisha computer ?!,yani nashindwa kukuelewa kijana!
 
Back
Top Bottom