Anatafutwa msusi Njombe

Mstaarabu wa ukwee

JF-Expert Member
Aug 9, 2013
209
135
Sifa za muombaji
1. Asiwe na umri chini ya miaka 18
2. Awe anajua kusuka vizuri hasa nywele za mkono na lasta pia mitindo mbali mbali
3. Awe anajua kuosha na kukausha nywele kwa kutumia Hair dryer na kuzichana vizuri
4. Asiwe na familia
 
Mm ni mkongo nasuka sana mitindo yote hata masaji pia kwa wanawake ila mimi ni mwanaume.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom