Mbona tunaye huku ughaibuni? Tena tangu afike amekuwa ni mtu wangu wa karibu sana.huyu kama kweli katorokea majuu cha msingi afanye kazi kwa bidii ili siku moja aje kumlipa mwajiri wake ili aishi kwa furaha
Urembo tupa kule watu wanaangalia pesajamani dada mrembo huyo hata huwezi kudhania
Ahaaa wewe Fidel hela mbuzi wapi mwenzako yuko hukooooootatizo utakuta kaiba hela za mbuzi tu milioni 2 angeiba milioni 200 anajificha Somalia hapo
tatizo utakuta kaiba hela za mbuzi tu milioni 2 angeiba milioni 200 anajificha Somalia hapo