Mpole mimi
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 315
- 104
Asante sana dada angu,mimi siwachukii wanawake wa kiafrica hata kidogo,dada zangu mamaangu na ndugu zangu karibia wote ni weusi,kinachonikera ni hizi tabia za wengi wao..hawako real wanakopy sana life style za watu..nawaona ndugu zangu wanavyoangaika na kuangaisha.. ngoja nijitose tu dadangu,ntakupm tuongee..
Heri ya xmas wana jukwaa..kidogo mi sio mwenyeji sana hapa,naomba mnikaribishe,
Nimekua nikidate na wanawake wa kiswahili kwa mda mrefu,na ni wanawake tofauti tofauti,lengo langu hasa alikua kuwabadilisha bali,nlihitajji mmoja awe mke wangu,ni mwaka wa nne natafuta ila sio siri nmekosa,wanawake wengi wanauswahili sana,mkishazoeana ndani kunakua hakukaliki,ni wagomvi wagomvi,wambea,vigeu geu,hawana future,story zoa sio za kujenga story zao ni diamond kajala martin kadinda na wema na mostly ni ile hali ya ugold digger uwa haiwaishi,kutokana na tabia hizo ambazo wengi wao wanazo,na nikijumlisha na mifano ya ndoa za ndugu wangu wa karibu,wote walio oa na kuolewa nnavo ziona,najikuta nakata tamaa ya wanawake wa kiswahili,sikua kufilia kuoa mzungu,na hiki ni kati ya vitu mamangu amenikanya nisijekufanya,bro wangu kaoa mzungu so bi mkubwa anaona haenjoy sana kua na mkwewe,so ataki na kwangu atokee,potelea pote nmefanya maamuzi nahitaji kuoa mzungu wana mmu kama kunamtu anauzoefi kidogo na hizi ngozi nyeupe naomba ushauri wako na kama kuna angalizo naombeni mnambie nitazingatia,pia kwa hapa bongo niwapi naweza kuwapata kwa urahisi,swala la kutongoza alinipi shida hata kidogo..karibuni.ama kma kuna mwanake hana tabia kma hizo nicheki tuwowane..!!
Rangi nyeusi inambwembwe zake..
Haya mkuuu
Online dating sites zinafanya kazi kiukwel...I got my soulmate dea....n we are happy!!
site ipi
Asante sana dada angu,mimi siwachukii wanawake wa kiafrica hata kidogo,dada zangu mamaangu na ndugu zangu karibia wote ni weusi,kinachonikera ni hizi tabia za wengi wao..hawako real wanakopy sana life style za watu..nawaona ndugu zangu wanavyoangaika na kuangaisha.. ngoja nijitose tu dadangu,ntakupm tuongee..
sikua kufilia kuoa mzungu,na hiki ni kati ya vitu mamangu amenikanya nisijekufanya,bro wangu kaoa mzungu
Nenda Badoo na dating sites nyingi sana interracial dating sites wamejaa tele.Waswahili hawaoleki hasa hawa wa sikuhizi...najitosa kwa ngoz nyeupe basi..we nipe dirrections tu wanapatokana wapi kwa wig hpa bongo..
Heri ya xmas wana jukwaa..kidogo mi sio mwenyeji sana hapa,naomba mnikaribishe,
Nimekua nikidate na wanawake wa kiswahili kwa mda mrefu,na ni wanawake tofauti tofauti,lengo langu hasa alikua kuwabadilisha bali,nlihitajji mmoja awe mke wangu,ni mwaka wa nne natafuta ila sio siri nmekosa,wanawake wengi wanauswahili sana,mkishazoeana ndani kunakua hakukaliki,ni wagomvi wagomvi,wambea,vigeu geu,hawana future,story zoa sio za kujenga story zao ni diamond kajala martin kadinda na wema na mostly ni ile hali ya ugold digger uwa haiwaishi,kutokana na tabia hizo ambazo wengi wao wanazo,na nikijumlisha na mifano ya ndoa za ndugu wangu wa karibu,wote walio oa na kuolewa nnavo ziona,najikuta nakata tamaa ya wanawake wa kiswahili,sikua kufilia kuoa mzungu,na hiki ni kati ya vitu mamangu amenikanya nisijekufanya,bro wangu kaoa mzungu so bi mkubwa anaona haenjoy sana kua na mkwewe,so ataki na kwangu atokee,potelea pote nmefanya maamuzi nahitaji kuoa mzungu wana mmu kama kunamtu anauzoefi kidogo na hizi ngozi nyeupe naomba ushauri wako na kama kuna angalizo naombeni mnambie nitazingatia,pia kwa hapa bongo niwapi naweza kuwapata kwa urahisi,swala la kutongoza alinipi shida hata kidogo..karibuni.ama kma kuna mwanake hana tabia kma hizo nicheki tuwowane..!!
Bro wako si kaoa mzungu, kwanini humuulizi akupe uzoefu wake, unakuja kutukera hapa? Wewe mwenyewe nishagundua ni tatizo...
Sent from my iPhone using JamiiForums