sandramalando
Member
- Oct 25, 2016
- 37
- 16
Anatafutwa mchumba anaeishi na virus vya ukimwi.alie series na mwenye hofu ya mungu.BINTI anaetafuta mchumba ana umri wa miaka 24.kwa alie na utayari aje inbox kwa maelezo zaidi
Sawa mkuuwanakuja
Sahivi hao watu wamekuwa adimu kidogo maana hela za kuhonga ziko wapiAnatafutwa mchumba anaeishi na virus vya ukimwi.alie series na mwenye hofu ya mungu.BINTI anaetafuta mchumba ana umri wa miaka 24.kwa alie na utayari aje inbox kwa maelezo zaidi
Hajatafutwa MTU wa kuhonga mkuuSahivi hao watu wamekuwa adimu kidogo maana hela za kuhonga ziko wapi
Soma uelewa, nimeandika hao watu siku hizi wamekuwa adimu kwa kuwa maambukizi yamepungua kqa kiasi chake kwa maana hela za kuhonga bar hazipoHajatafutwa MTU wa kuhonga mkuu
Nimeamini hakuna jambo baya lisilo na faida....Kumbe hata ukata una faida zake kwa upande mwingine! Basi acha tuendelee kusomeshwa namba. Hii inanikumbusha positive economic importance of malaria.Soma uelewa, nimeandika hao watu siku hizi wamekuwa adimu kwa kuwa maambukizi yamepungua kqa kiasi chake kwa maana hela za kuhonga bar hazipo
Ni ngumu sana kwa kila mtu kuelewa, ni wachache sana wenye kufikiri na wewe ni miongoni mwa wachache critical think , chukua like.Nimeamini hakuna jambo baya lisilo na faida....Kumbe hata ukata una faida zake kwa upande mwingine! Basi acha tuendelee kusomeshwa namba. Hii inanikumbusha positive economic importance of malaria.