Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
- Thread starter
-
- #21
Kiongozi huyo tumtafutaye atatoka miongoni mwetu; Lakini swali kubwa ni je tunataka kiongozi mkamilifu asiye na doa, au kiongozi ambaye ni mwadilifu ambaye anajitahidi kusafisha madoa yake mwenyewe na anajionesha jinsi alivyo msafi....?
Labda ashuke malaika kutoka mbinguni!
Ninachoona hapo MwanaJJ ni kwamba hizo ni sifa ambazo kila Mtanzania anapaswa kuwa nazo kabla kumpata huyo kiongozi.
Maana sioni ni kwa vipi apatikane mtu wa aina hiyo kutoka katika kundi liliooza eti aweze kuwabadili watu na wakafanikiwa.
Bunge letu limejaa waongo, wezi, wauwaji, majambazi etc
Mitaani kumejaa waongo, wezi, wauwaji, majambazi
Maofisini nako ni hao hao maana ndiyo wanaotoka mitaani, so what do you expect.
where will this person begin from?? I cannot see where? its like a candle burning at both ends.
My dear, sometimes the fire does not get to middle when there are winds blowing, other times it gets to the middle even the remaining decent fabric of society gets consumed by it and THEN........ we are left with nothing.
so then as the fire rages both ends we are faced with an existential question should we keep our grip or let it loose.. knowing fully in either case the demise is ours!?
Yes, he is available,
Kiongozi, ndio tunakaribia kumpigia kura....Watu mnakumbukumbu.... hajapatikana bado?