Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,395
Kuna familia fulani naifahamu mdada alipata tatizo kama la huyu ndoa ilifungwa, mdada akamwomba mumewe aoe mdogo wake mwanamke ili amzalie watoto. Na mpaka sasa wanaishi vizuri tu.
Lewanga alishafariki kwa ajali huko mtwara. RIP
Kabendesa najua Tongs anaweza akawa amekuelewa ila mi naona umenichanganya sana humo nilimo bold, underline and italicise. Please nifahamishe vema nikuelewe mkuu. Samahani lakiniKuna familia fulani naifahamu mdada alipata tatizo kama la huyu ndoa ilifungwa, mdada akamwomba mumewe aoe mdogo wake mwanamke ili amzalie watoto. Na mpaka sasa wanaishi vizuri tu.
Lewanga alishafariki kwa ajali huko mtwara. RIP
Wanajamii,
Mtajwa hapo juu ni rafiki yangu tulopotezana tangu mwaka 2008. Alimaliza Sheria UDSM mwaka 2006. Mara ya mwisho alikuwa ni Solicitor Mtwara. Mwenye kujua 'whereabouts' zake anifahamishe tafadhali au kama mwenyewe yupo hapa jukwaani ajitokeze!! - natanguliza shukrani za dhati.