Anatafuta nini??

@Bolfo hahahahahaa nogopa kusema.........
 
Anajaribu kuona rangi ya chupi, si unajua hizi za siku hizi zinafichwa na mwili!!
 
Enzi zetu tulikuwa tunasema nguo imefyata ikimaanisha imeingia katikat ya makulio so huyo hapo anajalibu kuichomoa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Anapasha misuli ya macho kabla ya mechi
 
anataka kuthibitisha , je ni kweli....?
 
Anafanya upembuzi yakinifu kabla ya utekelezaji.
 
Anatafuta bomba la moshi.

Na huyo anayetafutwa mbona na yeye ametulia, anatafuta nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…