Anatafuta Mume

 
Umeulizwa ana mkia???
Nakumbuka mwalimu wangu wakingeteza alikua akinisisitiza kuuliza maswali kwa msemo huu
There is no foolish question but foolish answers.
Kusema wadada wana mkia sio vizuri ila ngoja wenye nao waje
 
Wenye uhitaj wa kweli waje Pm, Dada mwenyewe yupo vizuri kimaadili na kisura. Sikwamba namtafutia kiki ila huo ndio uhalisia. Usiwe tu mwanaume wa mwendo kasi
daah ukuadi
 
Huyo hatafuti mume anatafuta bwana,mume bora na wa maisha kushabihiana dini ni moja ya kugezo muhimu kabisa
 
Huko mtahani kwenu ama marafiki zako si wamchukue tu. Inatakiwa uweke picha yake asije kuwa una tuhuzia zombi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…