Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
Tulio serious hatunaga mizahamizaha naomba ni-PM mawasiliano yake, huenda nikawa mwenye bahati
huo ubwanyenye wake mimi naupenda sana.Kwa sisi tunajua kutumia hii midude ni mitamu sana!Apunguze ubwanyenye....sio mzuri kwa afya.
Mkuu hata mimi naitafuta namba yake kwa udi na uvumba!Nipe namba yake ya simu.
Mimi nipo tayari,nachotafuta ni namba yake tu,mwenye nayo tafadha naomba anipatie!Duh hatari bonge la zigo....haya alokua tayari na ajitwishe
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kitu usichokijua ni usiku wa kiza!inaonekana hujui utamu wake!mke wangu tu ndo naweza kumvumilia akinenepa hadi kumfikia huyu..mwili gani huu!!!
Teh teh teh!tamaa ya fisi!Tulio serious hatunaga mizahamizaha naomba ni-PM mawasiliano yake, huenda nikawa mwenye bahati
Precisely mkuu!she is hot