CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 157
Kuna jamaa anatafuta mkopo wa 15,000,000 - 20,000,000.
Ana viwanja vinne vilivyopo eneo moja (square), kila kiwanja kina 35mx35m
Thamani ya kiwanja ni 5,000,000 - 7,000,000.
Viwanja vina hati miliki toka serikalini (siyo serikali ya kijiji) - kuna beacons
Viwanja viko pamoja na viwanja vingine zaidi ya 400 vilivyopimwa - so haitarajiwi kuwa sehemu ya squatters.
Viwanja viko Visiga-Kibaha (2-2.5km toka Morogoro road).
Jamaa anajenga nyumba ambayo kwa sasa ina thamani ya >40,000,000 lkn eneo analojenga bado halijapimwa ingawa kuna makazi ya watu. Ana gari yenye thamani ya 5,000,000.
Ana reliable income ya >2,000,000 kwa mwezi.
MSAADA: Ni wapi na vipi anaweza kukopeshwa hiyo 15-20M kwa kutumia dhamana ya viwanja vyake hivyo?