Anatafuta mchumba, lakini ole wako ukimsaliti

Anatafuta mchumba, lakini ole wako ukimsaliti

Sasa hapo nakula pingili hizo au?

Mwanamke sharti awe laini kama mafuta
Mkuu kaolewa huyo demu. Kuna njemba inamtindua kama kawaida bila hofu na "wazungu" wanatoka fresh tu. Ubaunsa wake ni gym tu kule 6x6 ni kama mkate ukilowekwa kwenye chai.
 
Ndege wanaofanana huruka pamoja atawapata wabeba uzito wenzake [emoji1548]
 
Ndege wanaofanana huruka pamoja atawapata wabeba uzito wenzake [emoji1548]
Ni kweli kaolewa na jamaa mmoja mcheza football (sio soka) nae ni mbavu kama huyu mwanamke. Hilo jina la mwisho la huyu mdada ni la mumewe.
Cc: Yamakagashi
 
Bora kuendelea kuwa mwanachama hai wa chaputa kuliko mwanamke wa hivyo
 
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Mi mwenyewe bondia vile vile.

Kuna ubondia hapo kaka ako mwenyewe natuliza brek we na ubondia wako unatawanywa maini yote
 
Hivi wanathani wanaume wanoa mwanamke Kwa kuangalia nn?

Mwili wote mgumu huo. Utatumika wapi sasa
 
Back
Top Bottom