Anatafuta kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anatafuta kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Kingo, Jun 24, 2011.

 1. Kingo

  Kingo JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2011
  Joined: May 12, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  Habari wana JF. Nina mdogo wangu wa kiume anatafuta kazi, ana elimu ya chuo kikuu katika utawala na elimu. Ana uzoefu wa kufundisha 2+yrs na pia amefanya kazi benki 3yrs, mazingira yalikuwa magumu kikazi akaacha. Amejaribu kuomba sehemu mbalimbali hajafanikiwa. Mwenye kupata/kujua nafasi za kufundisha (sekondari Geogr, GS/CIV) au taasisi za fedha tafadhali nijuze. Shukrani sana. Ni-PM au 0782869969
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
   
 3. Kingo

  Kingo JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2011
  Joined: May 12, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
   
Loading...