Matendo Andrew
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 750
- 367
Ana watoto? Ni pm natafuta mfanya kazi sema anatakiwa aishi hapa hapa . Hakuna mtoto mdogo. Yy ni kulinda nyumba na usafi. Hio namba ysko ama yske,? Ok ninpm tuongee . Wewe ni dalali ama n ndugu
kwahiyo umegoma kunipa mie tenda ya uhausgel?
Tatizo liko wapi, ulaya hadi miaka 60 watu wanafanya kazi za ndani,.....mi sina nyumba ningemchukua huyu, kulaza watu sebuleni sio ishu kabisa28 kazi za ndani, tatizo!!
Sifa zooote anazo, lakini aaah, 28 !!!...(m/ mke 28 age)