Anatafuta kazi za ndani

Ukiona mwanaume anakubali kuwa dada wa kazi kama huyo ni afadhari kuomba taraka mapema
 
Nikajua ni wale wadada wa kazi wa ukweli! Nimekuja mbio!! ila kwa huyu hapana!! amekosa sifa stahili.
 
Anatakiwa awe tayari anakazi...mpaka sasa anatafuta!
 
Mungu anajua kufinyanga. Sio Mchezo.
 
Atafarakanisha nyumba yangu aisee, boro mirembe tijoka bwato
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…