Mbona hujasema kama anapendelea fani zipi na maeneo au mji gani.Funguka usaidiwe.
jamaa yuko mwanza,kazi yoyote ile kwenye mambo ya business
Duh! milioni si mtaji huo unajiajiri tu au tatizo ni kwenye kiyoyoz
Mimi pia nahitaji kazi ya kununu jamani kwa milioni au zaidi mtaani kuchungu jamani. Mwenye hizo deal ani -pm please. Nina degree mbili. Kazi popote. Mwanzisha thread nisamehe bure.
pm me,unatoa laki mbili kwanza ukishapata kazi na kusaini mkataba unamalizia the rest,
kuna jamaa anatafuta kazi ya kununua mwenye konection an pm

Waki pm 10 una 2M dah!pm me,unatoa laki mbili kwanza ukishapata kazi na kusaini mkataba unamalizia the rest,
Hivi hili shirika la kuzuia RUSHWA (pccb) halimo humu j.f?! kama unataka kutoa rushwa ili upate kazi , ukipata kazi hutadai rushwa kwa wanyonge wewe???? huko chuoni hamjafundishwa maadili na madhara ya rushwa??
kuna jamaa anatafuta kazi ya kununua mwenye konection an pm
Nipo mwanza natafuta kijana wa kukaanga samaki vp upo tayari?