Yea mimi natafuta house girl ,huyu nahisi atanifaa, ila mwambie kwamba lazima awe analala kwenye kituo cha kazi,sitki aende na kurudi,mshahara atakaolipwa na mama mwenye nyumba unaweza kuwa mdogo ila mimi nitakuwa nampa malupulupu ya kutosha
wakina mama na akina baba mnaohitaji house girl kazi kwenu sasa