Anatafuta boda boda ya kufanya kwa mkataba

Anatafuta boda boda ya kufanya kwa mkataba

walkn dead

Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
19
Reaction score
7
HABARI ZA MUDA HUU
NDUGU ZANGU NNARAFIKI AMBAE NAMUHESABU KM NDG TOKA 2015 AMEKUWA BODA BODA WANGU ANANIPAKIA NI MTU NNAE MJUA NA NI KIJANA MWAMINIFU SANA ANAHITAJI MTU MWENYE PIKI PIKI AMBAE ANATAFUTA DEREVA WA KUMFANYIA KAZI KWA MKATABA MAENEO YOYOTE ILA SI NI WAKAZI WA TEGETA NAOMBA MSAIDIE KUHUSU KIJANS MWENZETU NAMBA ZANGU NI 0678967013 WADHAMINI PIA WAPO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siuseme wewe ndio unatafuta walahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu aanze kukupakia ww n wengne hakuweka hela(akiba) ya kununua pkpk yake....mpka aanze kuomba omba humu.....

mendez
 
Pikipiki aliyokua anaendesha mwanzo imeenda wapi?
 
Kama anaeza kupata lak 8 hivi kasoro aende equity bank wanatoa mikopo ya pikipiki. Dhamana ya mkopo inakua pikipiki hyo hyo muda wa kulipa inaenda hadi mwaka... Maelezo zaid tembelea matawi ya equity bank

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom