Hafu nyie watu wa huko irak ayaaaaa siyo nyie wapemba vipi mbona wasumbufu ktk mambo hayooo acheni bwana tulia na mke wako sasa unataka kutwambia kwamba umemkomoa jamaa hapana umeongeza matatizo ktk maisha yako jipange kaka
Yaani wewe umefanya jitihada zote kumtenganisha mwenzio na mpenziwe.......... Then unakimbia pemba huku yeye akibaki peke yake we ukila raha na mamsapu wako.! Je ungekuwa ni wewe umetenganishwa na mkeo then yeye akasepa unge jisikiaje?
Ingekuwa ni mimi ningefanya juu chini nikutenganishe na mkeo then nasepa ili tuwe ngoma drool!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.