Anaswa na Umeme Akiiba Mafuta Ya Transfoma

The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,605
6,071
Alinaswa na Umeme wa transfoma eneo la Hospitali ya Bugando jijini Mwanza na kufariki dunia papo hapo

13.jpg



umeme1.jpg

Hapa Mafundi wa umeme kutoka Tanesco wakipanda kuunasua mwili wa huyo jamaa

umeme3.jpg

umeme4.jpg

umeme5.jpg


umeme6.jpg


 
Mbona transfoma oil inapatikana kwenye makampuni yote ya mafuta. Kwanini wanaenda kuchukua kwenye live power?
 
Mungu ana kazi siku ya mwisho huyu bwana kapata muda wa kutubu dhambi zake kweli?
Mwenyeezi Mungu hana kazi yoyote siku ya Mwisho wenye kazi ni sisi viumbe wake . Siku ya mwisho kuna Moto na Pepo, tenda wema uende Peponi tenda Ubaya uende motoni huyu alikuwa ni Mwizi na malipo yake ameshayapata hapahapa duniani anagojea kesho tena siku ya Ufufuo wake aende motoni au aende Peponi. Mwenyeezi mungu ndie hakim wa mambo yote tunayoyafanya .
 
You've gat to give it to the man on the guts of going near knowing full well there is electricity, he was making a bet with his life on line, how heroic.
 
"Ukiishaisoma Idiliti"

Hii kitu kuna mtu niliwhi kumuona nayo una hati miliki kweli wewe?
<!-- google_ad_section_end -->
 
sometime life is the ****ing bitch .....
some people go out of there way to make ends meet...
& this is the price...
R.I.P
 
Naomba kueleweshwa: price(ya mafuta) per unit=?, nini matumizi yake?, je, Tanesco hawahisiki kweli kuyauza?!, maana transformers niza Tanesco, watu wasiojua umeme wanawezaje kufungua na kugema mafuta?.
 
Naomba kueleweshwa: price(ya mafuta) per unit=?, nini matumizi yake?, je, Tanesco hawahisiki kweli kuyauza?!, maana transformers niza Tanesco, watu wasiojua umeme wanawezaje kufungua na kugema mafuta?.


wanaenda kukaangia chips
huwa hayaishi haraka kama haya ya kawaida tunayo tumia
haya ya transfomer anaweza kutumia wiki nzima bila kubadilisha!!!!
 
Back
Top Bottom