Anaswa na Umeme Akiiba Mafuta Ya Transfoma

Anaswa na Umeme Akiiba Mafuta Ya Transfoma

Mtu ana hali ngumu ya maisha
kiasi kwamba haoni
hatari iliyoko katika kugema
hayo mafuta.
Apumnzike anapostahili.
 
Mafuta ya Transforma dili, Bongo wanakaangia Chipsi
 
Tuangalie upande wa pili pia...Jamani maisha ya Tanzania yamekua magumu kupita kiasi na hasa kwa vijana wasio na kazi mitaani. Kama serikali haitakua na mkakati wa haraka kutafuta suluhu ya maisha kwa vijana, tutawazika wengi tu kwa vifo vya umeme wa transformer, kupigwa kwa wizi, ujambazi, kujiua wenyewe, etc. Serikali iamke na kuona umuhimu wa haraka kuboresha maisha ya vijana wengi wasio na kazi mijini na vijijini. Sio kweli kwamba serikali haina hela ila ni matatizo kwenye vipaumbele...
 
Kwa kumuenzi hicho kituo kitaitwa kwa fundi umeme
kwani tayari kuna sehemu hapo dar jamaa alikufa kwa stail hiyo
na jina likawa kama hivyo...
 
Alinaswa na Umeme wa transfoma eneo la Hospitali ya Bugando jijini Mwanza na kufariki dunia papo hapo

13.jpg



umeme1.jpg

Hapa Mafundi wa umeme kutoka Tanesco wakipanda kuunasua mwili wa huyo jamaa

umeme3.jpg

umeme4.jpg

umeme5.jpg


umeme6.jpg


​
 
Kila nafsi itaonja umauti kwa style tofauti!Mungu ndiye anayejua style ya kila mmoja.
 
wanaenda kukaangia chips
huwa hayaishi haraka kama haya ya kawaida tunayo tumia
haya ya transfomer anaweza kutumia wiki nzima bila kubadilisha!!!!

Jamani hivi huwa ni kweli wanayapikia? Kama kweli naacha kula chips vumbi hata kama hakuna chakula kingine chochote karibu!
 
Ukweli kutoka redio mbao.................ni mengi kiasi gani haya mafuta?

Kwa kawaida inabidi yachanganywe na mafuta ya kula ndipo yatumike............yanahitajika kiasi kidogo tu ili kuyafanya mafuta ya kula yasi evaporate na kupungua
 
Watu wana roho ngumu! picha ya mwisho ndo maiti ameshushwa kwa kamba aliye mpokea naona anabonge la tabasamu, hapo kimoyomoyo anashangilia, watz tusione tulipo angukia, tuone kwanza tulipo jikwaa, kwanini huyu kawa mwizi wa vitu vya hatari na ktk mazingira ya hatari kama haya? binafsi imenihuzunisha hasa ukuzingatia umeme wenyewe ulisha chakachuliwa na marichmond, si heri watu wakajipatia vijisent hata kupitia mafuta ya transfoma ili kupunguza ukali wa maisha. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
 
You've gat to give it to the man on the guts of going near knowing full well there is electricity, he was making a bet with his life on line, how heroic.

Hapo ni elimu tu, yeye alikuwa anajua kwamba kuna live wire? Usichukulie vitu for granted, jamaa ametoka kijijini huko hakuna umeme, ameambiwa kuna dili ya kuuza mafuta ya transforma na yeye hakufikiria mara mbili na wala hakujua matokeo yake.
 
Back
Top Bottom