kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,463
Ha ha ha! Nimepost mwenyewe halafu nimecheka mwenyewe baada ya kuona comment yako japo ndo kitu nilitegemea kukisikia toka kwa yeyote atayeona hii post!Unajua nilitegemea ningekuta picha ya mjeda!!ooh mbavu zangu!