Anasemaje hapa?

Hajui kama jamaa amezaliwa katika familia yenye majini ....
 
dawa ya anayejifanya mchawi usimwogope, kuwa jasiri uone.,
 
jamaa anapigwa mkwara hapo...anaambiwa pamoja na kihirizi chako sikuogopi
 
duh,huyo mwenye kibuyu anafanana sana na bossi wangu
 
Dawa ya mchawi ni mupanga tu,wewe chukua mupanga wako kisha anza kuunoa hadharani wala usisema na mtu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…