THE JAGGERS
JF-Expert Member
- Apr 3, 2023
- 570
- 443
Hahahahahahaha nampenda sawa lakini kwahilo mwenzangu hapanaaa.
ndo hapooo!Figo gani?
Hiyo hiyo uliyoipiga na moshi wa shisha?
Nani anunue?
wacheni masihara siendekez ujingakauze mwaya umfurahishe babe wako jamani
hakuna cha 15 pro wala 15 pro max atatumia hiyo hiyoo.kauze mwaya umfurahishe babe wako jamani
kauze mwaya umfurahishe babe wako jamani