Anasema mpeane ”break time“ ina-make sense kweli?

Mfano mwanamke wako anakuambia msiwasiliane kwa muda, anasema mpeane” break time “ ina make sense kweli?
Wa kwangu aliondoka halafu wazazi wake wakadai tupeane mapumziko ya muda mrefu Kama miaka miwili ili tusomane. Nikajitahidi nikamrudisha baada ya miezi mitano. Ila Sasa najuta, Bora ningekubali halafu nitafute mashine mpya.

Ila niliwaona hamnazo maana mtu mna watoto watatu mnapeanaje break. Hawa wazazi wa mjini na wasomi Wana kazi Sana.

Ila kingine mtu usioe mtu ambaye hajalelewa na baba na mama. Mtu toka mdogo amelelewa na ndugu 9 (Tisa) wa baba hajui maisha.
 
Shukran kwa ushauri mkuu...
 
Yaan ni kwamba tulikua wapenz since tupo chuo for 3 year ila naona baada ya kua kitaa kwa takriban 1 year bila mchongo wowote naona alianza kubadirika taratibu ananijibu short short kwenye chatings afu amekua majibu yake ni ya command...sasa last week ndio aliniambia twende break time,na nkala block kama siku tano hivi,baada ya kumuuliza reason za kuniblock akaniukiza “ kwani lazima niwe nampigia simu mara kwa mara..?? Yan anajibu majibu makali sana
😅😅😅😅😅😅😅 pole sana chief
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom