barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,404 Reaction score 29,811 Mar 25, 2017 #41 Askari Muoga said: Wadau, huyu girl ananiambia hataki kondomu kabisa eti zina madhara anataka kutumia njia ya kalenda na mimi siijui. Click to expand... Kakwambia sasa hivi yaani ndo bado unajadiliana hapo au?
Askari Muoga said: Wadau, huyu girl ananiambia hataki kondomu kabisa eti zina madhara anataka kutumia njia ya kalenda na mimi siijui. Click to expand... Kakwambia sasa hivi yaani ndo bado unajadiliana hapo au?
Brightfame JF-Expert Member Joined Sep 14, 2016 Posts 1,371 Reaction score 1,460 Mar 25, 2017 #42 Mwambie utaipakaa condom sukari ili iwe tamu
Usher-smith MD JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 9,576 Reaction score 12,375 Mar 25, 2017 #43 Askari Muoga said: Wadau, huyu girl ananiambia hataki kondomu kabisa eti zina madhara anataka kutumia njia ya kalenda na mimi siijui. Click to expand... Kaka kulea mtoto gharama kweli, usipime Utashindwa hata kununua Toyota Passo [emoji28][emoji28]
Askari Muoga said: Wadau, huyu girl ananiambia hataki kondomu kabisa eti zina madhara anataka kutumia njia ya kalenda na mimi siijui. Click to expand... Kaka kulea mtoto gharama kweli, usipime Utashindwa hata kununua Toyota Passo [emoji28][emoji28]
Loeb S Mpalasinge JF-Expert Member Joined Dec 1, 2013 Posts 1,792 Reaction score 1,749 Mar 25, 2017 #44 Fanya nafsi yako inavyokutuma..saa nyingine woga ni akili na saa nyingine woga ni ujinga.