Anasema hataki kondomu

Anapenda kukisikia kichwa kinavochokonoa mwache tu maana atakosa raha
 
Kwani kati ya yeye na wewe ni nani atakayeibeba hiyo mimba? Anachojaribu kukuambia ni yupo tayari kuwa mjamzito.
 
Mwambie ukimwi na mimba vitauma zaid ya condom
 
Kwa kweli huwa sielewi ninapo ambiwa mimba imeingia kwa bahati mbaya!yaani ukimwi wote huu bado unataka kuingizwa chaka kibwege hivyo?...stuka jombaa,tafuna mzigo kijanja sio kiboya...
 
achana nae tu!
mtafute mwenyekiti wa CHAPUTA upewe membership card, hakuna longolongo huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…