gambakhuffu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2010
- 556
- 608
- Thread starter
-
- #21
Hilo ndo sijafanya cz kwa kazi zetu tunaonana siku nzima na hata nikijaribu kumweka karibu, anakuwa mkali na kusema kwa sasa sahau hiyo ilikuwa zamaninilitaka nijue kwanza maana mapenzi ndivyo yalivyo,,sikutaka nikupe ushauri kabla sijajua hili
na vp ukimuomba mkutane somewhere muongee anakataa?
Hilo ndo sijafanya cz kwa kazi zetu tunaonana siku nzima na hata nikijaribu kumweka karibu, anakuwa mkali na kusema kwa sasa sahau hiyo ilikuwa zamani
Nimejaribu kumuona rafiki yake aliye cement mahusiano yetu hapo kabla, ananiambia ye hajui kama tumevurugana na anachoamini binti ananipenda sana so anaamua kunitingisha lakini kiuhalisia iyo hali iliyopo inanipa wasiwasi maana watoto wa mjini hasa wa kike ni pasua kichwa kwenye suala la mapenziHilo ndo sijafanya cz kwa kazi zetu tunaonana siku nzima na hata nikijaribu kumweka karibu, anakuwa mkali na kusema kwa sasa sahau hiyo ilikuwa zamani
Its like you were on my shoes brother, nishapanga kidume kimtokee then napata ubuyu deile ila bado sijapanga kademu ka'kudate in a fake way ili tu neutralizeTAFUTA MWANAMKE ,,MPANGE NAYE DEAL AJIFANYE NI MPENZI WAKO .
ISHI NAHUYU FEK BABY MAISHA YA UWAZI NAWATI WAJUE KUA NIWAPENZI ,,, KWASABABU ANAKUFATILIA ATAZIPATA HABARI ,,
ALAFU NAWW TAFUTA RAFIKI WAKO WAKIUME PANGA NAYE DEAL ,,AJIFANYE ANAMTUMIA MESEJI AU KUMPGIA KISHA AMWAMBIE IVI """ hellow ( jina LA ako kademu kanakokuzengua) mbn siwaelewi wewe namshikaji ( wewe ) ,,mbn jamaa anataka kumvisha Pete MWANAMKE mwingine kulikoni ??????.
( yan RAFIKI wako anazuga km kumpa ushilawadu ).
Wewe wakati huo humjibu MESEJI wala humpigiii wala usilike comment yake au kuireply ..
UKIONA HAJALI SANA KUHUSU HILO PIGA CHINI KABISAA KATAKUPOTEZEA MUDA AN MIZINGA ISOKUA * YAKIURAFIKI*
NAKAM BADO KANAKUPENDA LKN KANAVUNGA ,NAKUHAKIKISHIA KAMA HATOKUJA NAKILIO HUKU MOYO UNADUNDA SPEED YA MAKOMBORA YA YA URUSI YA ZIRICON MISSILE ......... BASI NAACHANA NA JF.
Fanya ivo mkuuuu..akili zao hawa nirahisi sana.Its like you were on my shoes brother, nishapanga kidume kimtokee then napata ubuyu deile ila bado sijapanga kademu ka'kudate in a fake way ili tu neutralize
Tatizo unaongea sana mipango mingiii utekelezaji hakuna.Habari zenu wana bodi,
Kuna binti nilikuwa na date naye lakini hapa katikati ikatokea kutoelewana na isitoshe tupo ofisi moja, yote ni kwa sababu ya maneno yaliyoibuka ndipo akasema kuwa hataki mahusiàno na Mimi, lakini cha kushangaza haishi kunitumia jumbe mbali mbali kwenye mitandao ya kijamii hata kwenye simu. Na text zake zote zinafanana kama ilivyokuwa awali wkt bado uhusiano upo on peak.
Hapo mwanzo nimejaribu kumbembeleza arudishe roho nyuma ili tuendelee lakini amebaki kuwa na msimamo uleule na cha kushangaza text anazotuma ni hadi usiku wa manane.
Nashindwa kuelewa msimamo wa huyu binti na mara zote hapo nyuma alikuwa analazimisha nimvishe pete lakini sikuwa nimejipanga na amekuwa mdadisi kwa watu kwa kila hatua ninayopiga mbaya zaidi nikimchomekea turudiane anakuwa mbogo na ameanza hata kuniamkia kitu ambacho hakikuwa kawaida hapo kabla.
Hii hali imeniumiza sana kwani binti amebaki kuwa na msimamo tata na ukweli ni kwamba tulishibana sana hadi coworkers wakawa wanaona wivu na kwa hivi sasa imekuwa kama vile wanashangilia kuona love birds tumetengana.
Naomba ushauri wenu wana jamvi nifanye nini kuepukana na hii hali na labda nimweleze nini ili tuendelee kama zamani.
Nawasilisha!!
Hapo kwenye profile pc....umenikumbusha mbali [emoji23] [emoji23]Kweli kabisa..
Hiyo inaitwa sitaki nataka. Anataka akuumize tu halafu baadae akurudie. Tangaza una mchumba basi,tafuta hata picha ya demu mmoja mkali weka peofile picha whatsapp andika usingizi wangu iache siku mbili utaona madongo atakayokupa,utasikia mara ooh mzuri mara ooh kumbe ndio wifi hamna lolote roho itakuwa inamuuma na atalia na moyo wake mchana na usiku.
Ila we naee kuwa mwanaume,kaza roho hiyo kwani huyo ndio demu wako wa kwanza,kwani kakukuta bikra???mbona unadharirisha wanaume wenzio we nawe!!!!? Ghkaaa!!!
Hebu jichetue kidogo na yeye aumie then kama unampenda mvalishe hiyo pete hata ukioa 2030 ilimradi pete anayoitaka umempa.
achana nae huyo demu atakualibia utendaji kazi wako hapo ofisini. Tafuta demu nje ya ofisi ukiweza oa. Huyo wa ofisini achana nae sababu ya kumwacha ni kwamba hata yeye hakutaki ndio maana anazinguaMkuu imetokea tu, hata mi mwanzo sikuafiki lakini mtoto akawa amekolea bila kujali macho ya watu, lakini nikampa masharti mapenzi yetu yawe nje ya ofisi na hata tukiwa ofisini no body should notice, lakini bahati mbaya mambo yakaanza kuvuja kutokana na ukaribu uliokuwepo ukilinganisha na wafanyakazi wengine, hapo ndo yakaanza maneno!!
Sawasaw[emoji3] [emoji23] [emoji23]Tangaza ofisini kwenu umepata mchumba upo kwenye process za kuoa
Hahaa jamn [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] me mecheka tyuu ,,eti umesoma vbayaKuna sehemu nimesoma vibaya au?? "Ameanza hata kuniamkia" [emoji23][emoji23][emoji23]
Aseee nimekupenda bure wallah , eti jichetue kidogo [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli kabisa..
Hiyo inaitwa sitaki nataka. Anataka akuumize tu halafu baadae akurudie. Tangaza una mchumba basi,tafuta hata picha ya demu mmoja mkali weka peofile picha whatsapp andika usingizi wangu iache siku mbili utaona madongo atakayokupa,utasikia mara ooh mzuri mara ooh kumbe ndio wifi hamna lolote roho itakuwa inamuuma na atalia na moyo wake mchana na usiku.
Ila we naee kuwa mwanaume,kaza roho hiyo kwani huyo ndio demu wako wa kwanza,kwani kakukuta bikra???mbona unadharirisha wanaume wenzio we nawe!!!!? Ghkaaa!!!
Hebu jichetue kidogo na yeye aumie then kama unampenda mvalishe hiyo pete hata ukioa 2030 ilimradi pete anayoitaka umempa.
Daah hii comment ni ushauri mubasharaa,nimekupenda mnoKweli kabisa..