gambakhuffu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2010
- 534
- 576
Ni kweli ameanza kutoa shikamoo!!Kuna sehemu nimesoma vibaya au?? "Ameanza hata kuniamkia" [emoji23][emoji23][emoji23]
Asante luv nitafanyia kazi ushauri wakoTangaza ofisini kwenu umepata mchumba upo kwenye process za kuoa
Kweli kabisa..Tangaza ofisini kwenu umepata mchumba upo kwenye process za kuoa
Ndio hivo hivo hujakosea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna sehemu nimesoma vibaya au?? "Ameanza hata kuniamkia" [emoji23][emoji23][emoji23]
Katika mashine najiamini cz sina historia ya kuwaacha juujuu, ikifika asubuhi alikuwa anachechemea kwa shughuli ya jana yakeMwanaume ni machine + misimamo sasa wewe kimoja hapo huna yaani hujatimia
Maserati you're talking real, nimeipenda ushauri wako kwani kwa uchizi tu nimo ila karibuni nimejifanya mlokole flani. Iyo plan lazima nitaibuka nayo, hahaha!!Kweli kabisa..
Hiyo inaitwa sitaki nataka. Anataka akuumize tu halafu baadae akurudie. Tangaza una mchumba basi,tafuta hata picha ya demu mmoja mkali weka peofile picha whatsapp andika usingizi wangu iache siku mbili utaona madongo atakayokupa,utasikia mara ooh mzuriara ooh kumbe ndio wifi hamna lolote roho itakuwa inamuuma na atalia na moyo wake mchana na usiku.
Ila we naee kuwa mwanaume,kaza roho hiyo kwani huyo ndio demu wakk wa kwanza kakukuta bikra???mbona unahdaririsha wanaume wenzio we nawe!!!!? Ghkaaa!!!
Hebu jichetue kidogo na yeye aumie then kama unampenda mvalishe hiyo pete hata ukioa 2030 ilimradi pete anayoitaka umempa.
Mkuu imetokea tu, hata mi mwanzo sikuafiki lakini mtoto akawa amekolea bila kujali macho ya watu, lakini nikampa masharti mapenzi yetu yawe nje ya ofisi na hata tukiwa ofisini no body should notice, lakini bahati mbaya mambo yakaanza kuvuja kutokana na ukaribu uliokuwepo ukilinganisha na wafanyakazi wengine, hapo ndo yakaanza maneno!!Inakuaje una kuwa na demu ofisi moja mkuu?
Unajua sumu ya penzi mkuu ukionjeshwa. Nampenda sana na ye anajua!bado unampenda?na una ndoto za kuishi naye?
Ye ndo kasema hanitakiKama unampenda mrudie tu kama hataki mwache babuuu aah
Unajua sumu ya penzi mkuu ukionjeshwa. Nampenda sana na ye anajua!