Anasema ananipenda ila ana mtu

Kama ameshakuambia ana watu unatafuta ushauri wa nini. Ungekuwa ndio wewe umesikia mkeo anatafuta ushauri humu kwa ajili ya kupata mwanaume mwingine ungejisikiaje. Halafu mkuu usiwe unataja kazi unayofanya humu maana kuna wenandawazimu wataiponda wakati hawawezi kukusaidia hata "jiti"
 
^^
Loo! We mdada wewe,,mie machinga si ndo utanifyonza kabisa? Kazi anayofanya mbona analipwa mshahara,tukifanya za kunuka jasho oo! Kazi gani? Hapa ndipo huwa naamuaga kuwa kivyangu.
Sijui ufanye kazi ofisi ya kutengeneza pesa?
^^
 
Hakuna! Narudia tena hakuna! Dada mwenye 23 n above afu asiwe na mtu hata wa kuzugia!!!!!!!!!
 
huyo ndio mzuri...wee unamgegeda tuu na unamwacha na huyo bwana wake...yaa i ale nyama bure...hapana mwanamke akitumia pesa ya mwanaume lazima chupi ishuke
 
Huyo kashakubali mkojoleshe kama umeenda out bado unambwela tu gest huzion?SIKU HZ HAKUNA DEM WA PEKE YAKO WE GONGA UTAONA ATAKAVOKUGANDA AWE NA WW!!Kweli upele unamkuta asiye na kucha...!
 
We ingia tu ucheze karata, atakaeramba joker ndo looser....!!!!
 
huyo ndio mzuri...wee unamgegeda tuu na unamwacha na huyo bwana wake...yaa i ale nyama bure...hapana mwanamke akitumia pesa ya mwanaume lazima chupi ishuke

mhh sio lazima bwana, mbona mimi nimetumia na haikushushwa??
 
Sasa
mhh sio lazima bwana, mbona mimi nimetumia na haikushushwa??

sasa huyo sio mwanaume wa kweli...mie demu namwambia mapema ukitaka kula changu ujue papuchi unatoa...hataki simtoi out. direct to the point
 
Sasa

sasa huyo sio mwanaume wa kweli...mie demu namwambia mapema ukitaka kula changu ujue papuchi unatoa...hataki simtoi out. direct to the point

Hahaha watu wanaliwa mpaka milioni 7 na hiyo kitu hawapati....chezeya watoto wa dotcom wewe
 
Hahaaaaa ! Umenichekesha weye!

Hahahaha ujue inategemea huyo mwanaume anakuonaje...akikuona umekaa kujiuza uza basi atakupa condition kama za mzabzab, ila akikuona innocent na mtu mwenye misimamo na maisha yake mbona atazitoa tu hadi mwanamke mwenyewe aone aibu
 
Last edited by a moderator:

Na wewe una mtu au uko single?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…