Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,403
- 465,281
Ahahhaha hivi watu wa hivyo kumbe bado wapo wajinga ndio waliwaoKutoa kidogo lazima,lakini sio kama huyu mwenzetu
Ahahhaha hivi watu wa hivyo kumbe bado wapo wajinga ndio waliwaoKutoa kidogo lazima,lakini sio kama huyu mwenzetu
Huyo bado mgeni wa mapenziAhahhaha hivi watu wa hivyo kumbe bado wapo wajinga ndio waliwao
Co uskute yupo anaekula kiulain[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] acha alizwe tu halaf usikute kuna mjanja anamkula huyo mwanamke bila kutoa hata mia
Atakua kamsave dustbin [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na kwenye simu amekusave "my shida" hahahahha!!
Huo ulioongea ndio ukweli usser akili kichwani mwake kuna mjanja anajilia tu kiulainiCo uskute yupo anaekula kiulain
Tu buree kabsa halipi hata mia
Sasa jamaa anaangaika kutoa
Pesa lkn wap wanakula wajanja
Af mwanamke akipenda bhana
Yan hawez kutaka hata mia yako
Cha,zaid kwake n na ww umrudishie
Upendo anaokupa tu
Yaaah ttz la cc wanaume n tamaaHuo ulioongea ndio ukweli usser akili kichwani mwake kuna mjanja anajilia tu kiulaini
Ndo hapo mm nashaangaaNilishawai kuwa na mmoja sampuli iyo,akiwa na shida ya vocha au ela ndio ananitafuta!nilimpiga chini fasta!nipomshtukia!tena nlimpa ukweli,its over!kwani warembo wameisha mpk girl mmoja akupe stress?