harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,968
- 6,920
Pumbafu we ni ATM
Kuna shule ambazo hazijafunguliwa auJamani ninampenzi anasema ananipenda lakini ananikumbuka akiwa na shida ya pesa tu akifanikiwa kupata tu ujue imekula kwangu
Ukimwita anakwambia anakazi nyingi mala hapokei sim nimfanyeje huyu
Zaidi ya buzi hilo sijambo mimi sijui weweHapo ndo anafaa kujua mnaposema
Kuna
Buz liko mahali maana yake ndo hyo
Hujambo lkn
Niko chonjo kabsa kukumis tuZaidi ya buzi hilo sijambo mimi sijui wewe
Ebu niambie usser upo kama mtoa mada nikuje kujibebea mihela mieNiko chonjo kabsa kukumis tu
Haa haa npo kama yy IlaEbu niambie usser upo kama mtoa mada nikuje kujibebea mihela mie
Ahahhah hivi yeye mautamu anapewa kweli au ndio anaombwa hela tuHaa haa npo kama yy Ila
Tunatofautiana na yy
1 ; Mm naacheza kama straika,plays
No 7,9,10
2 : na yy anacheza kama bek,midefeld.
A.k.a mlinz[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ko chagua moja hapo
1 or 2? Shunie best ang
Halafu nadhani mwenyewe pia ameridhika kupendewa pesa.Nimejikuta nacheka kwahiyo anakupendea pesa tu
Apewe utamu wap c unaona hapoAhahhah hivi yeye mautamu anapewa kweli au ndio anaombwa hela tu
Kwakweli [emoji3][emoji3][emoji3] ebu nipe mahela basi na me nikupendee mahelaHalafu nadhani mwenyewe pia ameridhika kupendewa pesa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] acha alizwe tu halaf usikute kuna mjanja anamkula huyo mwanamke bila kutoa hata miaApewe utamu wap c unaona hapo
Akimuita anaambiwa ako busy
Mara kaz kibao Ila ikifka wakat
Wa pesa jamaa ndo anaona salam yake
Hii n hatar sana muwaoneege huruma
Hawa wenzetu jmn Walau sku moja moja
Kaka unasubiri nn mpaka sasa? Jiongeze kaka. Huyo anakufanya chuma ulete na wewe unamuangalia tu..Jamani ninampenzi anasema ananipenda lakini ananikumbuka akiwa na shida ya pesa tu akifanikiwa kupata tu ujue imekula kwangu
Ukimwita anakwambia anakazi nyingi mala hapokei sim nimfanyeje huyu
Mimi nimezoeya napendewa libamia[emoji23]Kwakweli [emoji3][emoji3][emoji3] ebu nipe mahela basi na me nikupendee mahela
MakubwaJiue umkomoe akijifunza ndo umuwoweee!???
Kwahiyo mahela hutoi kabisa kuwa kama mleta mada banaMimi nimezoeya napendewa libamia[emoji23]
Kutoa kidogo lazima,lakini sio kama huyu mwenzetuKwahiyo mahela hutoi kabisa kuwa kama mleta mada bana