ANDREW JOSEPH
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 421
- 405
Jamani ninampenzi anasema ananipenda lakini ananikumbuka akiwa na shida ya pesa tu akifanikiwa kupata tu ujue imekula kwangu
Ukimwita anakwambia anakazi nyingi mala hapokei sim nimfanyeje huyu
Ukimwita anakwambia anakazi nyingi mala hapokei sim nimfanyeje huyu