Anasema anajuta, nimsamehe

Umeongea point lakini hiyo sababu aliyosema huyo mwanadada ni uongo. Hapo unaweza kuta anaishi peke yake na hana hao ndugu anaosema. He is perfect real golddigger na kampata mtu wa mkoani.unajua tena siai wa mikoani tukiopoa watoto wa jiji tunaona kama.
tumeokota malaika.
 
Familia zetu hizi daah, watu wanamtegemea mtu asiye na kipato wanategemea pesa akachukue wapi? Umasikini mbaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
We acha tu hali ya kitanzania ni mbaya sana. Kuna mwanadada anajiuza hapa na pale na ana kipato kikubwa tu kwa kuuza nyapu. Na anapendwa sana kwenye familia yake maana ndiye tegemeo. Baba yake anampenda mno. Anatoka wakati wowote kwenda usiku kwa wanauma au kurudi amelewa nyang'ayang'a. Lakini ndio tegemeo la wote na wadogo zake anawasomesha yeyena ada analipa, kodi ya nyumba na chakula everything.
 
Nikweli kabisa Mkuu usemacho.. Mtoa mada atakua anajua kama anaishi mwenyewe au lah...Ila kama hajui basi pole yake sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…