Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,982
- 4,164
Ivi hakuna sheria ya kuwabana watu wa ivi? Mana nchi zingine kama U.S.A unapokuwa na HIV uka sex na mtu bila kumwambia wewe ni HIV+ miaka 7 jela , mana kitaani watu kibao tu wanafanya maksudi na hakuna sheria ya kuwabana
Mwenyezi Mungu atamnusuru huyo bint...........Unaweza kutumia ID fake kusajili mybe card ya hata house girl wenu ukaitumia kwa nia njema after that uunaidestroy hiyo chip but sio haraka unaitumia kwa muda kumweleza huyo binti, achukue taadhari gani na afanyaje jamaa asijue amemjua ni mgonjwa na by z way kama akiamua kumwambia jamaa amwambie na kama jama anabisha akampime sehem 3 tofauti ambazo asimtaji jamaa zime kwa mshtukizo n awe makini maana jamaa anaweza kumppa mpimaji signo na akatoa majibu sio.
This is the best answear so far. Hata kama jamaa si HIV +ve, je huyo binti hajui kuwa jamaa ana mke?
Nawaunga mkono sana wandugu hapo juu
Wachangiaji mliopita mnaonekana kutupa lawama kwa huyo baba mwenye HIV mnasahau kuwa hata huyu dada nae alikuwa na maamuzi yake ya kumkubali au kumkataa huyo baba.
Wasichana wa siku hizi sijui tunaenda wapi kwa kweli...inakuwaje unaanzisha mahusiano na mme wa mtu??.unatafuta nn?? Na ni kwann imekuwa rahisi kumvulia chupi kila mwanaume jamanii??? Tunaenda wapi huko?
Kwa mtu anayejitambua hawezi kuwa na mahusiano na mme wa mtu au mke wa mtu..mbali sana kufika mpk hatua ya kufanya mapenzi bila kuangalia afya zenu.
Ukitulia Mungu atakupa kitu kizuri kwako..kama unacheza cheza ndo mwanzo wa kukutana na watu wenye maradhi na wewe ukaunasa.
ushauri mzuri sana, nimeishia kusoma comments hapaMtumie text huyo msichana..with a different number...huyo mwanaume nae umtumie text ukimwambia anachofanya sio vzr...huyo binti asipoelewa atajijua but...save her life...utakua umejitoa ktk dhmbi hiyo ya uuaji
Nawaunga mkono sana wandugu hapo juu
Wachangiaji mliopita mnaonekana kutupa lawama kwa huyo baba mwenye HIV mnasahau kuwa hata huyu dada nae alikuwa na maamuzi yake ya kumkubali au kumkataa huyo baba.
Wasichana wa siku hizi sijui tunaenda wapi kwa kweli...inakuwaje unaanzisha mahusiano na mme wa mtu??.unatafuta nn?? Na ni kwann imekuwa rahisi kumvulia chupi kila mwanaume jamanii??? Tunaenda wapi huko?
Kwa mtu anayejitambua hawezi kuwa na mahusiano na mme wa mtu au mke wa mtu..mbali sana kufika mpk hatua ya kufanya mapenzi bila kuangalia afya zenu.
Ukitulia Mungu atakupa kitu kizuri kwako..kama unacheza cheza ndo mwanzo wa kukutana na watu wenye maradhi na wewe ukaunasa.
Mtumie binti text kwa namba mpya ukimtahadharisha na kwamba maamuzi ya mwisho anayo yeye .
Hata huyo jamaa unaweza kufanya hivyohivyo, ila kuwa mwangalifu asijue taarifa imetoka wapi.
Mtawa mmoja wakati wa Adolph Hitler kwa ujasiri alisema "dawa ya kuzuia tairi linalokanyaga watu na kuwajeruhi si kutibu wenye majeraha, bali kulistopisha lisiue zaidi"
Anaokoa maisha ya watu kiongozi. Sio kila siri lazima iwe siri hata kama inaua watu. Let him save her life...though ni kiherehere cha huyo dada!!
Unajuaje kama huyo dada hana virus?
Je huyo dada si ni over 18? Je hajawahi kuyaona matangazo ya ukimwi? Kama ni mjinga kiasi cha kutojilinda huko mtaani utamsaidiaje?
Unajuaje kama hawatake precaution?
And why her? Mbona wale wengine 3 hhukufeel obligation ya kuwasaidia?
Unajua kuhusu hepatisis? Unawasaidiaje watu wa ofisini kwenu wasiambukizane hepatitis?
If you have to do something, then talk to the guy, si ni legal HR department yenu kujua afya za wafanyakazi....
Na anziisha policy ya kuzuia mapenzi kazini, itasaidia zaidi.