Anasambaza UKIMWI kazini kwa makusudi, naweza kumsaidia vipi huyu dada?

Ivi hakuna sheria ya kuwabana watu wa ivi? Mana nchi zingine kama U.S.A unapokuwa na HIV uka sex na mtu bila kumwambia wewe ni HIV+ miaka 7 jela , mana kitaani watu kibao tu wanafanya maksudi na hakuna sheria ya kuwabana

Nani atunge sheria ambayo itamkama yeye mwenyewe?
 
Unaweza kutumia ID fake kusajili mybe card ya hata house girl wenu ukaitumia kwa nia njema after that uunaidestroy hiyo chip but sio haraka unaitumia kwa muda kumweleza huyo binti, achukue taadhari gani na afanyaje jamaa asijue amemjua ni mgonjwa na by z way kama akiamua kumwambia jamaa amwambie na kama jama anabisha akampime sehem 3 tofauti ambazo asimtaji jamaa zime kwa mshtukizo n awe makini maana jamaa anaweza kumppa mpimaji signo na akatoa majibu sio.
Mwenyezi Mungu atamnusuru huyo bint...........
 
Kama hakuwaambukiza hao wa tatu difintly anatumia kinga na hawapi maambukizi....
Haiwezekani hao watatu wote waolewe bila kujijua afya zao...

Kwa namna yeyote utakayomuambia huyo mwanamke jua siri ya afya ya jamaa itakua imetoka ofisini na atakayehisiwa wa kwanza ni HR na wengine mtafuata....Kwangu naona mpe taarifa jamaa aachane na huyo binti tafuta namna asikijue....
Mwambie unajua siri za ugonjwa wake ( angalia pia usije ukachangia speed ya kufa kwake mapema either kwa presha au kudhoofika kwa mafadhaiko).

Hii vita ni ngumu na ukijiingiza tegemea chochote hata usalama wako.
Akili kumkichwa
Every story need a hero...
 
This is the best answear so far. Hata kama jamaa si HIV +ve, je huyo binti hajui kuwa jamaa ana mke?

Nawaunga mkono sana wandugu hapo juu

Wachangiaji mliopita mnaonekana kutupa lawama kwa huyo baba mwenye HIV mnasahau kuwa hata huyu dada nae alikuwa na maamuzi yake ya kumkubali au kumkataa huyo baba.

Wasichana wa siku hizi sijui tunaenda wapi kwa kweli...inakuwaje unaanzisha mahusiano na mme wa mtu??.unatafuta nn?? Na ni kwann imekuwa rahisi kumvulia chupi kila mwanaume jamanii??? Tunaenda wapi huko?

Kwa mtu anayejitambua hawezi kuwa na mahusiano na mme wa mtu au mke wa mtu..mbali sana kufika mpk hatua ya kufanya mapenzi bila kuangalia afya zenu.

Ukitulia Mungu atakupa kitu kizuri kwako..kama unacheza cheza ndo mwanzo wa kukutana na watu wenye maradhi na wewe ukaunasa.
 
Umenena vyema. Watu tumekuwa na tabia ya kuhamisha lawama bila kuangalia sisi wenyewe tunahusika vipi katika tatizo husika.
Nani anayajua maisha ya huyo dada nje ya hiyo ofisi? Lakini hili halihalalishi ufisadi wa huyo mwathirika kusambaza huku akijua hali yake.
Katika hili la ugonjwa huu, suluhu ipo mkononi mwa kila mhusika!
 
mambo kama haya yananifanya nifikirie kununua bunduki
kweli nitawashoot
 
Mtumie text huyo msichana..with a different number...huyo mwanaume nae umtumie text ukimwambia anachofanya sio vzr...huyo binti asipoelewa atajijua but...save her life...utakua umejitoa ktk dhmbi hiyo ya uuaji
ushauri mzuri sana, nimeishia kusoma comments hapa
 
Nawaunga mkono sana wandugu hapo juu

Wachangiaji mliopita mnaonekana kutupa lawama kwa huyo baba mwenye HIV mnasahau kuwa hata huyu dada nae alikuwa na maamuzi yake ya kumkubali au kumkataa huyo baba.

Wasichana wa siku hizi sijui tunaenda wapi kwa kweli...inakuwaje unaanzisha mahusiano na mme wa mtu??.unatafuta nn?? Na ni kwann imekuwa rahisi kumvulia chupi kila mwanaume jamanii??? Tunaenda wapi huko?

Kwa mtu anayejitambua hawezi kuwa na mahusiano na mme wa mtu au mke wa mtu..mbali sana kufika mpk hatua ya kufanya mapenzi bila kuangalia afya zenu.

Ukitulia Mungu atakupa kitu kizuri kwako..kama unacheza cheza ndo mwanzo wa kukutana na watu wenye maradhi na wewe ukaunasa.

kupenda mteremko tu badala.ya kukomaaa na kuchapa kaz mtu anaanza u m.alaya kumbav
 
Mtumie binti text kwa namba mpya ukimtahadharisha na kwamba maamuzi ya mwisho anayo yeye .

Hata huyo jamaa unaweza kufanya hivyohivyo, ila kuwa mwangalifu asijue taarifa imetoka wapi.

Mtawa mmoja wakati wa Adolph Hitler kwa ujasiri alisema "dawa ya kuzuia tairi linalokanyaga watu na kuwajeruhi si kutibu wenye majeraha, bali kulistopisha lisiue zaidi"

Usithubutu kutuma text, maana staff mwenzangu ana kifungo cha nje miezi 6 kwa ajili ya text hivohivo
 
Anaokoa maisha ya watu kiongozi. Sio kila siri lazima iwe siri hata kama inaua watu. Let him save her life...though ni kiherehere cha huyo dada!!

jibu lako la msingi ni kuntu, lakini unaposema ni kiherehere cha huyo dada sikuelewi, unamaanisha wadada hawapashwi kujitwalia wenza? Au?
 
Unajuaje kama huyo dada hana virus?
Je huyo dada si ni over 18? Je hajawahi kuyaona matangazo ya ukimwi? Kama ni mjinga kiasi cha kutojilinda huko mtaani utamsaidiaje?
Unajuaje kama hawatake precaution?
And why her? Mbona wale wengine 3 hhukufeel obligation ya kuwasaidia?
Unajua kuhusu hepatisis? Unawasaidiaje watu wa ofisini kwenu wasiambukizane hepatitis?

If you have to do something, then talk to the guy, si ni legal HR department yenu kujua afya za wafanyakazi....
Na anziisha policy ya kuzuia mapenzi kazini, itasaidia zaidi.

By the time unafatisha kufanya haya the damage will be done.
Ukizuia mapenzi ofisini hutakuwa umeyazuia mtaani.
Its easy to pretend that they are not in love while in office when in fact they are outside the office.
Because they know that in the office its not allowed and they will act like that until they are out of the office.
Mzururaji ametoa wazo ambalo hata mi nimelifikiria. caxton hebu fata ushauri huo wa Mzururaji au ukishindwa jaribu wa mwaJ wa ukweli
 
Last edited by a moderator:
Nawaunga mkono sana wandugu hapo juu

Wachangiaji mliopita mnaonekana kutupa lawama kwa huyo baba mwenye HIV mnasahau kuwa hata huyu dada nae alikuwa na maamuzi yake ya kumkubali au kumkataa huyo baba.

Wasichana wa siku hizi sijui tunaenda wapi kwa kweli...inakuwaje unaanzisha mahusiano na mme wa mtu??.unatafuta nn?? Na ni kwann imekuwa rahisi kumvulia chupi kila mwanaume jamanii??? Tunaenda wapi huko?

Kwa mtu anayejitambua hawezi kuwa na mahusiano na mme wa mtu au mke wa mtu..mbali sana kufika mpk hatua ya kufanya mapenzi bila kuangalia afya zenu.

Ukitulia Mungu atakupa kitu kizuri kwako..kama unacheza cheza ndo mwanzo wa kukutana na watu wenye maradhi na wewe ukaunasa.

Jibu la hilo swali ni desperate.
Wanawake wengi sasa hivi wako desperate kuwa na mpenzi au mme kwa sababu tofauti tofauti ila kubwa ikiwa ni kujikwamua kimaisha.
 
Smart911 nadhani kama umesoma vizuri ujumbe wote wa Bwana caxton nadhani ni dhahiri kuwa ana shabaha ya kusaidia kupunguza collateral damage ofisini.
Ukijua kweli ukaamua kutoitumia kuwaweka wengine huru dhambi haitakuwa ya hao ambao hawaijui kweli ila itakuwa juu yako wewe unayejua na kuamua kukaa kimya.
Jifunze kuwa msamaria mwema siku zote. caxton ametumia taaluma yake kusaidia wengine for the better of their lives.
Kwa kile anachokijua ameamua kuwa msaada which is all we need to do in our lives. Profession yako kama haijafanyika msaada kwa jamii husika achana nayo.
Kwanza kabisa HR caxton hajaweka wazi jina la mtu yoyote hapa. Sio muathirika, wala mkewe wala jina la huyo dada.
Pili hajasema anafanya kazi taasisi gani kwa hiyo hamna siri yoyote iliyovuja.
Tatu ameomba ushauri, hii inaonesha kuwa anaweza kuliacha hili suala akaendelea na maisha yake ndo maana akahitimisha kwa kusema, "Au ya ngoswe nimuachie ngoswe? Watajijua wenyewe?"

Sidhani kama huyu anaepaswa kusaidiwa kama angekuwa ni ndugu yako wa karibu ungetoa maoni uliyotoa.
Au unafanya kazi na caxton ofisi moja?

Last edited by a moderator:
Mtumie binti text kwa namba mpya ukimtahadharisha na kwamba maamuzi ya mwisho anayo yeye .

Hata huyo jamaa unaweza kufanya hivyohivyo, ila kuwa mwangalifu asijue taarifa imetoka wapi.

Mtawa mmoja wakati wa Adolph Hitler kwa ujasiri alisema "dawa ya kuzuia tairi linalokanyaga watu na kuwajeruhi si kutibu wenye majeraha, bali kulistopisha lisiue zaidi"

Good advice, amsimamishe huyo bazazi asiendelee na ujinga wake, wakati huo huo amu-alert huyo binti asijeumia.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom