Hana heshima, MTU kama yupo kwenye mahusiano inabidi kuwa makini na vitu kama hivyo.
Kweli kabisa.Hana heshima, MTU kama yupo kwenye mahusiano inabidi kuwa makini na vitu kama hivyo.
Ushauri, kabla hujafanya maamuzi yeyote umwambie direct kuwa hupendi asipobadilika mpotezee ishii kwani ye ndo binti pekee.
Sawa nduguInaonekana hujiamini kwenye huu uhusiano ulionao....humuamini ulie nae... Na kind of hauko comfortable na baadhi ya mambo kati yenu. Mi nakushauri bora uongee nae ili uwe na amani...kama maelezo yake hayatakutosheleza then you can decide kunyoa ama kusuka.
love is equal to distance times (*) Eyeshabari ndugu zangu.
Nina binti nampenda sana na nina mpango wa kuishi nae kama mke wangu. Ila mimi na yeye tupo kwenye long distance relationship. Sasa juzi kaenda kwenye sherehe ya dada ake ya engagement.
Ambacho sijaelewa anakaa anapost picha na mojawapo ni ya best man na yeye wako pamoja anaandika caption za kusifia na kaipost mara ya pili sasa. Nashindwa hata nimkataze vipi ndugu zanguni naombeni ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Thread Closed!Nawewe post ukiwa na mwanamke mwingine,halafu kaa kimya,akikuuliza ndio hapo utakapoanzisha mada na kumueleza nini unataka na nini hutaki kuhusu hizo picha.
Kasema ni mdogo wa shemeji so hata simuelwiSiku hizi engagement nazo zina best man. Kweli mambo ni mengi na muda hautoshi
Bora kutombewa, kwa mwandiko ule,....... Wauni wanaweza kumtomba yeye.....ushauri wa kwamba??wanaume wa mikoani mnatia kichefuchefu...kama unashindwa kumwambia achange DP utaweza kumwambia akufurie nguo??utatombewa dogo watch your back
Hunijui ndugu ndo maanaBora kutombewa, kwa mwandiko ule,....... Wauni wanaweza kumtomba yeye.....
Mambo yamekua mengi na Mengi yamekua Mambo
Good advice kuna kipindi unapaswa umfunze mtu kwa matendo naongezea uspost kidemu demu tu ,tafuta demu mkali sanaNawewe post ukiwa na mwanamke mwingine,halafu kaa kimya,akikuuliza ndio hapo utakapoanzisha mada na kumueleza nini unataka na nini hutaki kuhusu hizo picha.
Sawa boss wangu haina mbayaGood advice kuna kipindi unapaswa umfunze mtu kwa matendo naongezea uspost kidemu demu tu ,tafuta demu mkali sana